Muhtasari wa Utafiti
Tuzungumze Kuihusu
Wakati ni Sasa
Mitapivat ni tiba mpya tarajiwa ya matukio ya maumivu na upungufu wa damu ya ugonjwa wa selimundu. Kumekuwa na tafiti mbili za mitapivat hadi sasa –- utafiti mdogo wa awamu ya 1 na utafiti wa awamu ya 2. Sasa sehemu inayfuata ya RISE UP, utafiti wa awamu ya 3 inasajili Mashujaa.